Philosopher AM
Member
- Dec 6, 2022
- 19
- 30
Asante Sana mkuuKaribu mjengoni
Asante Sana bossUmekuja vizuri kweli[emoji3]
basi sawa[emoji1666]
Hahahaa.. Mmenipika nyie wenyewe GT na nimekwiva...Umekuja vizuri kweli[emoji3]
basi sawa[emoji1666]
Nashukuru sana kiongoziKaribu sana mkuu.
[emoji3]Hahahaa.. Mmenipika nyie wenyewe GT na nimekwiva...
Asante sana[emoji122]Karibu sana
Great great.Nimekuwa mfuatiliaji wa JF takribani miaka 8 bila kuwa member rasmi.
Nikinunua simu mpya,app ya Kwanza kudownload ni JF
Nkitaka kuingia mtandaoni kujua dunia inaendaje,cha kwanza kuchungulia ni JF.
Nikitatizwa na Jambo lolote badala ya kwenda Google,nazama Kwanza JF.
Nikitaka kucheka,kuburudika,kuelimika NK ni JF.
Kiufupi hadi familia yangu ishajua nipo addicted na JF.
Kitu cha ajabu Sana ni kwamba kuna kitu (ingawa siwezi kukibainisha) kilikuwa kinanizuia kufungua ID rasmi. Labda pengine "roho wa Bwana" alikuwa ananizuia ili nisitende dhambi Kwa kuchangia ktk Uzi wa rickboy na wenzie akina mzabzab. Pengine labda uoga wa kupingana na akina Kiranga juu ya uwepo/kutokuwepo Mungu. Pengine pia niliogofya na matunguri ya akina Mzee Mshana Jr ...
Wahenga walisema za mwizi 40 nami nahisi 39 zishafika ni muda wa kutoka backbench na kujitokeza hadharani sasa.
Salute kwenu wote GT mnaoendelea kuyafanya maisha yawe muruwaaa. Na naimani nitainjoy zaidi kuwa sehemu ya familia hii. Ladies and gentlemen here we go......
Thanks a lot comrade.Great great.
Mjukuu wako kwa span ya kuwa hapa JF au umri wa kula chumvi? Maana unaweza kuta nimekuvisha nepi... BTW [emoji122][emoji122]emoji3][emoji3]Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Vyote vyote....kama nilikuwepo wakati wa vijiji vya ujamaa unategemea nini.Mjukuu wako kwa span ya kuwa hapa JF au umri wa kula chumvi? Maana unaweza kuta nimekuvisha nepi... BTW [emoji122][emoji122]emoji3][emoji3]
[emoji3]Vyote vyote....kama nilikuwepo wakati wa vijiji vya ujamaa unategemea nini.
Pengine pia niliogofya na matunguri ya akina Mzee Mshana Jr ... [emoji23]Nimekuwa mfuatiliaji wa JF takribani miaka 8 bila kuwa member rasmi.