Hodi hodi

Msaada account yangu ya jamii forum nikiingia kwa kupitia desktop inasoma kuwa narambaza kama mgeni hivyo nafasi ya kuchangia, lakini kwenye simu nachangia kama kawa ,NINI MAANA YAKE? MSAADA TAFADHALI
 
Maana yake hata katika desktop unatakiwa kuingiza "username" na "password" ili kuingia JF na kutoa michango yako...

Katika simu yako ulichofanya umeielekeza browser ikumbuke password yako hivyo muda wote upo online, waweza kufanya hivyo kwa browser katika kompyuta yako pia
Msaada account yangu ya jamii forum nikiingia kwa kupitia desktop inasoma kuwa narambaza kama mgeni hivyo nafasi ya kuchangia, lakini kwenye simu nachangia kama kawa ,NINI MAANA YAKE? MSAADA TAFADHALI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom