Hodi Hodi Wenye Nyumba!!

MiNasema

Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
8
Reaction score
1
Dah..At last nimepata nafasi ya kuingia kwenye hii familia baada ya kuelekezwa mara kibao na marafiki zangu!! Mada motomoto zilizomo humu ndani zinaamsha mwili na kunipa moyo zaidi kuwa bado kuna Watanzania wengi ambao tuna uchungu na hii nchi!!

Tupo pamoja

Mdau MiNasema.
 
Poa we shusha nondo mkuu.
 
Jamani mimi napenda sana mada za humu ila kuna watu humu wapo kwaajili ya kubisha hata lililo wazi mi co kwamba nimekamilika la hasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…