Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,437
- 4,828
Ahahahahahaha
Makubwa....nani kakwambia my mume Erickb52 ana tabia mbaya!! aisee watch out..hehehe,lol
Makubwa....nani kakwambia my mume Erickb52 ana tabia mbaya!! aisee watch out..hehehe,lol
Nilipokimbia fb niliigia humu JF nikajikuta jukwaa la siasa nikafikiri kwamba huo ndio uzuri wa JF.nyuzi za uhakika.lakini nikashangaa pale huwezi kuweka kitu bila kupewa za uso, makavu live.halafu kuna watawala wake pale.utawakuta wakina ze marcoporo,chama,ben saanane,habib, na wengine wengi tu.kumbe kuna watu wanalipwa kwa kazi ile ya kueneza sera za chama?!
Nikapita majukwaa mengine JF doctor wakina mzizi mkavu ndo watemi kule,sikumwona lady doctor kule!kupita jukwaa la elimu nikawaona makanjanja wengi tu mle ndan,kwenda kwa magreat thinkers kumbe na magreat sinkers wamo wamejaa.kufika kwenye jokes na utani nyuzi nyingine unaambiwa usifungue ukifungua unakutana na tusi.
Si ndio nikakimbilia chitchat na MMU,huku naona mambo poa,kuna wazee wa hekima kina watu8,baba v,vijana wenzangu wakina stevoh,mr rocky,kabanga,bishanga,kaizer,manoah,chimbuvu na eric52(ila huyu ana tabia mbaya nasikia),totoz za ukweli kina heaven on earth,passion lady,lady furaha,mamaza wanaojua kulea kama mamdenyina mama JJ. couples za uhakika kama ilivyokuwa ya slave na evelynsalt,party kali kama white party na ndugu kibao.
Nimekuwa natembilea tu humu,wakuu mi sina hata PM moja,hivi hilo eneo huwa linatumika kweli ?nithibitishieni basi,hata undugu kama wa shettah nipeni tu,nimeupenda huu mchezo naombeni namba,nimechoka kuwa shabiki!
Nawasilisha!
Last edited by a moderator: