hodi hodi wana MMU...

hodi hodi wana MMU...

mjukuu.

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Habarini za asubuhi wana MMU nabisha hodi kwenu tafadhali mnipokee....


nawasilisha.........
 
Hizi bikra za Mchina zilizojaa siku hizi hazimsumbui kidume yeyote wa humu.

Thubutuuuu, tafuta thread ya mdafada anaitwa mango g kasema ni bikra he he he vidume hadi vimebet,
chezeiyaaaaaa kuishi duniani miaka 40 hujawahi ona bikra inavofanana afu mtu aseme anayo
hata ningekuwa nami ni kidume ningesarandia.
 
karibu sana. jinsia gani? umri wako? unaishi wapi? je,wewe ni mwanafunzi? unafanya kazi gani na wapi?
 
dah nmefurahi kupokelewa humu ka mgeni..ila inaelekea jinsia ina mata sanae....!!!!



nawaclsha.....
 
karibu ila inaonekana wewe ni msumbufu Fulani hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom