Hodi hodi wana jf:

Hodi hodi wana jf:

People

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
364
Reaction score
34
Hodi hodi uwanjani,people naingia.kwa mbwembwe na vifijo,naomba mnipokee wana jf.
 
waku nawasalimu kwa heshima zote,nategemea kupata michango yakuweza kuleta ukombozi wa taifa letu tukufu
 
waku nawasalimu kwa heshima zote,nategemea kupata michango yakuweza kuleta ukombozi wa taifa letu tukufu
Karibu sana mkuu!
Nimependa jina lako, ukiondoa herufi ya kwanza ya jina langu unakuwa wajina, hah hah!
Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom