Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,368 Nov 18, 2010 #21 watarime said: Karibu Mon,tunatumaini mchango wako. Click to expand... Mkuu huyo mtu alijitambulisha 2009 na wewe umejiunga 2010, sasa nani wa kumkaribisha mwenzie?
watarime said: Karibu Mon,tunatumaini mchango wako. Click to expand... Mkuu huyo mtu alijitambulisha 2009 na wewe umejiunga 2010, sasa nani wa kumkaribisha mwenzie?
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,340 Nov 18, 2010 #22 Monicam said: Naitwa Monica ndo najiunga leo na Jamii forums, natumaini mtanipokea vizuri. Click to expand... monica karibu,tumekumiss jamvini ila nafurahi umefika. Pole kwa safari na karibu tujenge taifa imara,pia walete na wenzio waone Great Thinkers wanavojadili. Nakuakikishia humu Jf hamna mpuuzi ila watu wote uchangia as per ones IQ, welcom.
Monicam said: Naitwa Monica ndo najiunga leo na Jamii forums, natumaini mtanipokea vizuri. Click to expand... monica karibu,tumekumiss jamvini ila nafurahi umefika. Pole kwa safari na karibu tujenge taifa imara,pia walete na wenzio waone Great Thinkers wanavojadili. Nakuakikishia humu Jf hamna mpuuzi ila watu wote uchangia as per ones IQ, welcom.