MBWAGA II Member Joined Aug 1, 2015 Posts 12 Reaction score 5 Feb 12, 2017 #1 Habari zenu wakuu, mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na kunikaribisha. Asante,Jumapili njema.
Habari zenu wakuu, mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na kunikaribisha. Asante,Jumapili njema.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,240 Feb 12, 2017 #2 Poa poa mkuu karibu
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,316 Reaction score 25,107 Feb 12, 2017 #3 Yaani tangu tar1/8/2015 upo huku tu, huchangii chochote..!? [emoji15] [emoji15]
back town JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 471 Reaction score 365 Feb 12, 2017 #4 Ok join us
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,751 Reaction score 1,251,436 Feb 12, 2017 #5 Karibu mpaka kwenye vyombo,uvioshe vizuri.
MBWAGA II Member Joined Aug 1, 2015 Posts 12 Reaction score 5 Feb 14, 2017 Thread starter #6 Asanteni nyoote kwa ukaribisho.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,814 Reaction score 13,770 Feb 21, 2017 #7 Karibu sana JF.