kifrogi Member Jun 8, 2011 42 22 Jun 8, 2011 #1 Habali zenu wakuu mimi apa ni mgeni naomba mnipokee ili tuweze kubadilishana mawazo na kuwaenzi viongozi wetu pipozzzzzz.................
Habali zenu wakuu mimi apa ni mgeni naomba mnipokee ili tuweze kubadilishana mawazo na kuwaenzi viongozi wetu pipozzzzzz.................
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Jun 8, 2011 #2 powerrrrr! Karbu sana kifrogi! Agiza kinywaji bil lete kwangu!
kifrogi Member Jun 8, 2011 42 22 Jun 8, 2011 Thread starter #3 sweetlady said: powerrrrr! Karbu sana kifrogi! Agiza kinywaji bil lete kwangu! Click to expand... Asante sana dada yangu lazima kieleweke
sweetlady said: powerrrrr! Karbu sana kifrogi! Agiza kinywaji bil lete kwangu! Click to expand... Asante sana dada yangu lazima kieleweke
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Jun 8, 2011 #5 karibu sana...agiza mu bia Mkuu Katavi akija ata clear.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Jun 9, 2011 #8 Sangara said: karibu sana...agiza mu bia Mkuu Katavi akija ata clear. Click to expand... Nawe pia agiza kinywaji, changanya bill yako na ya mgeni kisha niletee.....
Sangara said: karibu sana...agiza mu bia Mkuu Katavi akija ata clear. Click to expand... Nawe pia agiza kinywaji, changanya bill yako na ya mgeni kisha niletee.....