UPIU JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 602 Reaction score 111 Jun 26, 2012 #1 Habari zenu kina kaka na kina dada, kwa wakubwa zangu shikamooni. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa jukwaa lenu na leo nimepewa ridhaa ya wakubwa kujumuika nanyi. I am so much privilaged to join you. Have your say
Habari zenu kina kaka na kina dada, kwa wakubwa zangu shikamooni. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa jukwaa lenu na leo nimepewa ridhaa ya wakubwa kujumuika nanyi. I am so much privilaged to join you. Have your say
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,622 Reaction score 76,676 Jun 26, 2012 #2 Pita ndani.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,890 Reaction score 13,880 Jun 26, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,401 Reaction score 3,028 Jun 26, 2012 #4 Karibu jamvini.