Sijaelewa heading ya thread yako mkuu,
Unaingia leo tayari makosa kibao!!
anyway karibu sana mkuu Jof saa nyingine ni mwenyeji umepigwa Ban sasa unakuja kwa mgongo wa nyuma.
Sheria nayoipenda mimi: Usitukane hapa kwenye hii Link, ukifanya hivyo hatua kali zitafuata ni pamoja na kufungiwa.
MODS Mpeni sheria zetu huyu mkuu mpyaa asije haribu hewa hapa akaanza kusema oooh sikujua.