SilentKiller
Member
- Mar 31, 2017
- 15
- 3
Am new member
karibu nduguAm new member
Unapokea watu vizuri na kwa tabasamu tamu kiasi kwamba natamani nije kama mgeni kwa ID mpya ili unipokee na mimi!Karibu
Ndivy nilivyofunzwa lazima mgen ajapo home akirimiwe vip unahitaj kukirimiwa na wwUnapokea watu vizuri na kwa tabasamu tamu kiasi kwamba natamani nije kama mgeni kwa ID mpya ili unipokee na mimi!
Ndiyo,nahitaji kukirimiwa!.......unaishi wapi jamani ili nije?Ndivy nilivyofunzwa lazima mgen ajapo home akirimiwe vip unahitaj kukirimiwa na ww
Haya usijali nitakupa ukarimu wa hali ya juuNdiyo,nahitaji kukirimiwa!.......unaishi wapi jamani ili nije?