Hodi hodi hodi...

unbwogaboy

Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
37
Reaction score
12
Waungwana mnikaribishe na mnipe muongozo humu jamvini mwenzenu mgeni humu. Nategemea ukarimu wenu wa hali ya juu.. Asanteni waungwana.
 
Umesikika, karibu sana kiongozi

Na wewe usiwe mchoyo kutoa muongozo pia
 
Karibu ila kuwa makin matusi hatutaki
 
Jamani. wale wa zamani tunaomba uzi huu mtuachie na sisi wageni tufahamiane
 
Karibu sana soma sheria za jukwaa...
Kuna kila rika huku....
Msafara wa mamba na kenge wapo

Utachagua mwenyewe uwe kundi lipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…