Jama! Hbr ya majira haya! Hakika baada ya kuwa mperuzi kitambo sasa nimeamua kuwa ndani ya WanaJF! Naombeni kampani yenu na sina mengi zaidi ya kuwatakieni kazi njema ktk ujenzi wa Taifa le2 lenye uongozi legelege! Tuupo Pamojaaaa,A to Z!

Mkuu sidhani kama umemtendea haki mgeni wetu. Siamini kama alikuwa na ujinga na matongotongo. Angeshindwa hata kujoin humu!