JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Shabhaaaaashhhhhh ubazaz at work
Jamani hooodiiiiii KOKUTONA anabisha hoodiii mjini
Jamani hooodiiiiii KOKUTONA anabisha hoodiii mjini
Haiya weeee.....!!!!! kwanini sikuona hii kitu mapema!??? Mumjgu wangu , utakuwa ulipokelewa na ma [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] ... hatari.
Nukta chache ku go back home...huku dar rahisi sana kusema kwa kheeeeeriiiiiii.
Nukta chache ku go back home...huku dar rahisi sana kusema kwa kheeeeeriiiiiii.
Nimekubembeleeeeza tuonane umedengua.
Mie ndo nshatua kwetu tenaa.
Unapotea sana wewe tatizi....bahati NZURI sikuonana na #teambazazi hata mmoja. Nicas Mtei ndo alinichungulia akiwa shambani kwake lol
Nicas Mtei waitwa hukuHapo kwenye red hapo ndo pananiletea shida, haaminiki yule.
Naskia yuko Zenji amefuata #maembebolibo ya Zinduna.