Hodi hodi chit chat!!!

Innobwoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
979
Reaction score
535
Jamane ndo naingia leo kutoka kijijini naomben nipate registration,natoa offer kwa bi mdada wa kwanza kunipm atapata diner nyumbani lounge!!!
 
Huku nani kakuambia wadada wa huku wana shida na vi offer uchwala?
 
Mpaka ukaguliwe na babu Asprin



Jamane ndo naingia leo kutoka kijijini naomben nipate registration,natoa offer kwa bi mdada wa kwanza kunipm atapata diner nyumbani lounge!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamane ndo naingia leo kutoka kijijini naomben nipate registration,natoa offer kwa bi mdada wa kwanza kunipm atapata diner nyumbani lounge!!!

Wewe ni ME au KE.... Sosi watu8!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
inno,chitchat ni msitu mnene full giza,ole wako uuingie na kiwembe.
 
Nafikiri akili yako bado imebaki kwenye analogia!
 
Swala la offer halikuwa muhimu sana ila nilihitaji kudraw attention,mwambie aspirin nipo tayari kuwa screened!!!asanteni kwa kunikaribisha kwa mikono miwili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…