Hodi barazani

Mangolo

Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
28
Reaction score
11
Hodi barazani wajumbe,
poleni na majukumu ya kila siku, naomba mnipokeee
 
Karibu kwa mikono mwili. Nini Maana ya Mangolo ??
 
usiiishie barazani pita hadi chumbani.
 
Karibu Jangwani... Aaah sorry ulimi hauna mfupa
Karibu Jamvini!
 
Asanteni sana kwa makaribisho nimeshiba na kusaza, ingawa nilichelewa kusema asante ni kwa sababu ya miangaiko ya kila siku ila naomba muipokee asante yangu woooooooooooote,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…