Hobby nyingine za ajabu...!

hahahaaaaaaaaaaaa,anajiona bonge la hensamu kinomaa
 
Amefanana sana na ding yangu yan each and everythng
 
Sipati picha akinywa kangara au mbege inakuwaje
 
Huyu naona alitamani kujifanya gaidi ama Osama Bin Laden. Anastahili kupigwa mawe au kurushiwa mishale na mikuki hadharani.
 
Kule Iringa kuna mzungu mmoja anavaa magunia na kutembea peku. Wale sijui ni dhehebu gani lakini wanadai wanaishi kama alivyoishi Yesu, jamaa ana midevu ya kutisha.

To be honest, nilipokutana nae for the first time nilikimbia kabisaa mpaka madereva tax wa pale Posta waliponambia kuwa ni mtu wa kawaida hahahaaa!

Mzungu kutembea peku, kavaa gunia na midevu kama hiyo picha hapo teh teh nilijua nimekutana na zimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…