Hmm... Wapigwe tu!

mmmh!! Hilo jeshi lenye kofia nyekundu ni la waasi au! Na ni wapi hiyo?

Jeshi wapi hilo! Kwa kawaida jeshi ufuata sheria na haki za binadamu, ukimkamata adaui unamchukua kama mateka, na si kumpiga na kumg'oa meno barabarani mbele ya watu. Hao ni wahuni tu wamevuta bangi wanaleta fujo na machafuko.
 
Ng'ombe ni mstaarabu hata shetani hana ukatili kama huu! Africa huyo Mungu angeliifuta Africa akaumba upya!

Kweli hili bara linamaliza oxygen tu ulimwenguni, viongozi wanaua tembo bila aibu na wavuta bangi wanajifanya wanajeshi, basi hasara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…