Hmm! The world is not fair!

Ha ha haaaaa... Bwana Albert Bashite Daudi.. Leo ndo anafaidi mema ya nchi na kupewa heshima kubwa kama Rais kule China wakati hao jamaa wanaotafuna madesa hapo sasa hivi wako mtaani wanazunguka na bahasha za kaki viatu vimelowa vumbi na vishalika upande kwenye kisigino.
 
huwez jua, huenda jamaa kadesa sana.
 
Dah!
Usikute yawezekana walikuwa wanamwambia Soma utakufa masikini!!!

Sasa, aliyelala ndiye anayekula cake ya nchi!

Hatujui waliko sasa!!
Kweli, Mungu akiamua kukupatia hakuna wakuzuia.
 
Kufauru mitihani nje ya shule ni akili zaidi kuliko Kufauru mitihani ya shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…