Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,915
- 30,259
JK,..Mzee Mohamed Said this could be one of your best interviews.
..I really enjoyed it and learned a great deal about CUF and Znz election sagas.
..lakini kuna baadhi ya watu ambao wanaamini kwamba CUF kwa upande wa Tanganyika hawakuwa serious kukisambaza na kukiimarisha chama chao kama ilivyokuwa kwa ndugu zao wa Zanzibar.
..Na Prof pamoja na ku-sacrifice kazi zake za kitaaluma kwa ajili ya CUF impact yake haijakuwa kubwa kama ilivyotegemewa. Kwa mfano kwanini Prof hakuweza kuufanya mkoa wa Tabora ambako anatokea kuwa ngome ya CUF?
..lingine linalonisikitisha na tabia ya Maalim kurudi nyuma pale ambapo inatakiwa ashikilie msimamo wa kutetea ushindi wake. Yaani ulivyomuelezea Maalim ni kama vile CCM walishaelekezwa "kibla" mara nyingi ktk uchaguzi, lakini Maalim Seif badala ya kumaliza kazi,dakika za mwisho, amekuwa akirudisha "kisu" kwenye ala.
JK,
Laiti kama Maalim asingerudisha kisu alani mauaji yangetokea.
Hakuna kitu chenye thamani kushinda maisha ya binadamu.
Maadui zake wangesema kawatoa kikoa watoto wa wenzake ili awe rais.
Mwaka 2015 niliwahi sema Maalim kachoka na siasa za nyakati si zake, zama zimekwisha..When shall we say enough is enough?
..Na labda hiyo ndio imekuwa turufu ya CCM kumtishia Maalim kuwa wananchi watauwawa ili akubali matokeo haramu.
..Kwenye hilo nadhani he was not the right person kupambana na CCM. Palihitajika mwana-CUF ambaye atapelekea CCM kuogopa kumuibia kura.
..Wakati mwingine huwa nawaza kama Mandela angekuwa na moyo wa Maalim Seif huenda utawala dhalimu wa kibaguzi ungedumu mpaka leo.
Mkuu JokaKuu
Wakati tunaombeleza msiba wa Maalim, nitoke nje ya mada kidogo
ACT Wazalendo wameonyesha kukomaa pale walipofuata katiba kumpata ' Kaimu Mwenyekiti'' Semu
Katika siasa za nchi zetu hasa vyama vichanga kifo cha maalim kingeibua 'power struggle''
Pamoja na yoote bado katiba imeheshimiwa na ACT imebaki kuwa taasisi. Kudos ACT kwa hili
Kwa kuangalia nyakati ningesema haya
I'm rooting for Mansour Himid. Huyu ndiye atakaziweza siasa za Karafuu.
Mansour anaonekana 'mkorofi' lakini ukweli ni kuwa si mkorofi ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba
Zitto