Israeli ndo mkorofi , WAlebanonni wamekasirishwa na kitendo cha wenzao kuvamiwa msikitini Jana na Leo na kutiwa Vizuizini .. wacha Moto uwake .... uchokozi kaanzisha nani? Lazima yupo aliyeanzisha haiwezekani just from nowhere zikaanza kupingwa.
Huu ni uzi bila ushahidiHivi watu wa mashariki ya kati sijui wakikaaga bila vita huwa hawafurahi kabisa haya sasa hivi Israel na Rebanon wapo wanashabuliana kwa makombora na mizinga.
Wamevamiwa tu msikitini bila sababu? There must be a reason iliyopelekea Israel ichukue hatua hizo.Israeli ndo mkorofi , WAlebanonni wamekasirishwa na kitendo cha wenzao kuvamiwa msikitini Jana na Leo na kutiwa Vizuizini .. wacha Moto uwake .
Wanajuana hao
wenzao wamewasaidia nin?Israeli ndo mkorofi , WAlebanonni wamekasirishwa na kitendo cha wenzao kuvamiwa msikitini Jana na Leo na kutiwa Vizuizini .. wacha Moto uwake .
Wanajuana hao
Huchanganyi habari kweli!!?..najua Hamas na Israel ndo zinapigwa, Israel hapendi ugomvi na hizbullah toka akung'utwe 2006Hivi watu wa mashariki ya kati sijui wakikaaga bila vita huwa hawafurahi kabisa haya sasa hivi Israel na Rebanon wapo wanashabuliana kwa makombora na mizinga.
We watu wanaswali Ramadan hii unaenda kuvamia,kuwasukuma wakiswali na kupiga mabomu ya machozi...vurugu za Israel msikiti mtakatifu wa Jerusalem ni kila mwaka na hazina mashikoWamevamiwa tu msikitini bila sababu? There must be a reason iliyopelekea Israel ichukue hatua hizo.
Hakuna nchi duniani anayoitwa Rebanon labda kama ipo kuzimu.Kwa sasa sio Wapalestina ni warebanon.
Rebanon ni watu gani🤔Hivi watu wa mashariki ya kati sijui wakikaaga bila vita huwa hawafurahi kabisa haya sasa hivi Israel na Rebanon wapo wanashabuliana kwa makombora na mizinga.
Israel wanakasirika na kukereka hao wapalestina wanaposwali kwa kitu ambacho hakipo kinasadikika tu, ndo maana wanawatawanya kistaarab kwa mabomu ya machozi badala ya kuwauaWe watu wanaswali Ramadan hii unaenda kuvamia,kuwasukuma wakiswali na kupiga mabomu ya machozi...vurugu za Israel msikiti mtakatifu wa Jerusalem ni kila mwaka na hazina mashiko
Sasa mbona Allah anawaogopa? Wanavyomuomba kwa bidii na kujituma angeshaifuta Israel zamani.Wanaosemaga Israel taifa teule la Mungu wanakosea sana.
Israel ni taifa onevu hawana tofauti na vikundi vingine vya magaidi
Hakuna taifa teule la Mungu duniani
Maombi kama hayo Mungu huwa hasikiliziSasa mbona Allah anawaogopa? Wanavyomuomba kwa bidii na kujituma angeshaifuta Israel zamani.
Unaelewa hata ulichokiandika!!?..au ulevi umechukua akili zako kwa muda!?Israel wanakasirika na kukereka hao wapalestina wanaposwali kwa kitu ambacho hakipo kinasadikika tu, ndo maana wanawatawanya kistaarab kwa mabomu ya machozi badala ya kuwaua
Msikiti umevamiwa, Lebanon wamelipiza... uchokozi kaanzisha nani? Lazima yupo aliyeanzisha haiwezekani just from nowhere zikaanza kupingwa.