Hizi upatu,vikundi vya wanawake vinakera sasa

Hizi upatu,vikundi vya wanawake vinakera sasa

Wewe ndio akili fupi ikilinganishwa na huyo unaesema ana akili fupi.
1. Bank unatoa interest ya pc ngapi kwa mwaka (na pesa yenyewe huweki 12m at once)

2. Nidhamu ya pesa sio kila mtu anayo. Vikundi husaidiana kutiana moyo wote wawe na nidhamu kwa LAZIMA

Wewe unatunza pesa mpk mwisho wa mwaka bila kuguswa? Let say hujaweka kwenye acc zile za fixed or alike

nunua hisa saccos au vicoba kopa kutumia hisafanya biashara nunua hisa zingine kopa tena zaidi kuliko hela yako uweke kama savings kwa mtu hujui atakufa lini bila hata mkataba. tana huu upatu ni makosa kisheria kwakua wahalipi kodi na havijawa registered kama finencial institution. soma incom tax law. mnaiibia serikali
 
Kwenye upatu anayepata mkopo halisi ni yule anayelipwa wa kwanza,anakuwa kama amepata mkopo wenye masharti nafuu, 'bila riba'.Pengine hata mtu wa pili au wa tatu katika wanachama 12 akiwa na akili ya kuitunza na kuizalisha/kuiwekeza hiyo pesa ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kama ataiingiza katika uwekezaji unaolipa vizuri.Kinachobaki kwa mtu huyu wa kwanza ni kulipa deni kwa kiasi kilichopangwa kwa mwezi, ambayo ni nafuu kwake.KINYUME chake ni mtu wa 12 ambae anaanza kuwachangia wengine akisubiri miezi 12 ili alipwe millioni 12.Kwa hakika mtu wa namna hiyo ni mkopeshaji ambae anampa pesa yake mtu mwingine aitumie bila kudai riba akisubiri kupata 12Million baada ya miezi 12.NI bora aitunze hiyo pesa mwenyewe au aiweke benki kila mwezi kwa kuwa baada ya miezi hiyo 12, atapata 12Million plus faida. Usipoliona hili utawanufaisha wengine ukidhani unapata faida kumbe wewe unatumika tu kama chanzo cha mtaji.Wa mwisho atatajirika baadae!.BTW ni vipi kama mpango utaharibika wakati wewe hujafikia muda wa kutajirika wakati wenzako ni matajiri?.:thinking:
 
Back
Top Bottom