Hizi technology zao ni mbinu za kutupiga pesa tu

Nyamwage

Senior Member
Oct 16, 2020
146
500
Hi. Mfano wa hizo technology zenyewe ni
1. QLED
2. OLED
3. ULED
4. UHD4K
5. VIDAA
6. NAnocell
7. CrystalUHD
8. NeoQLED
9. OLEDevo
10. iphone 13

Ukichukua hiyo tv mpya na tv ambayo ulinunua kipindi kilichopita kabla ya hiyo kutoka ukaziweka pamoja na ukaplay video ya aina moja labda video yenye 4K resolution hautaona tofauti ya picha hata ukiziangalia ukiwa kwa angle labda tofauti yake inakua ni kidogo sana mpaka mtu umwambie ni kama watu wenye iphone 13 wanavyo jieleza kuwa hii ni iphone 13 lakini asipo sema unaweza kuzani ni iphone 12 au 11
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,719
2,000

Zipo marketing term kama Crystal UHD ila pia zipo genuine technology hapo.

1. Oled ni tech ya kweli na inaonesha true black ambayo huwezi kuipata kwenye lcd. Kuijua tafuta kitu chochote chenye rangi nyeusi lcd itaonesha kijivu na oled itakuwa nyeusi.

PicsArt_11-16-06.59.29.jpg

2. Qled nayo ni lcd huwezi ona utofauti wake kwenye mazingira ya kawaida ila Qled kwenye HDR10+ na Dolby vision haina mpinzani, hasa kama ukumbi wako una Taa nyingi.

3. Nanocell ni aina ya display zenye input lag ndogo, zenyewe hazipo kwa ajili ya quality bali kwa wale wanaotaka latency ndogo kama gamers.

4. Iphone 13 pia ina mambo yake ukitumia ukaaji chaji wake ni mkubwa utaona tu utofauti na zile iphone ambazo watu wanatembea na chaja.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,529
2,000
Kitu cha muhimu sana katika kipimo cha resolution kwenye display ama TV ni pixel density au pia PPI (Pixels Per Inch). Maneno kama HD, Full HD, 4K n.k. ni porojo tu za kuuzia bidhaa sokoni.

Kitakachokupa ubora zaidi wa picha ni PPI kwa maana ya idadi ya pixels katika kila inchi ya display. Kadri unapoongeza kiwango cha PPI katika display ama TV ndivyo ambavyo ubora wa picha (quality/sharpness) unavyoongezeka. Bila kusahau pia teknolojia ya display husika.

Kitakachokuonesha kwa haraka utofauti wa 4K video kati ya display moja na nyingine ni PPI. Mfano: kati ya TV ya inchi 40 na nyingine yenye display inchi 65 zote zikiwa na 4K resolution, yenye inchi 40 itakupa picha yenye ubora (quality/sharpness) zaidi kuliko yenye inchi 65 sababu yenye inchi 40 ina PPI kubwa zaidi kuliko yenye inchi 65.

Muda au wakati wa uundwaji kati ya TV moja na nyingine huwa si kigezo cha muhimu. Muhimu zaidi ni pixel density pamoja na display technology iliyotumika.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,668
2,000
Zipo marketing term kama Crystal UHD ila pia zipo genuine technology hapo.

1. Oled ni tech ya kweli na inaonesha true black ambayo huwezi kuipata kwenye lcd. Kuijua tafuta kitu chochote chenye rangi nyeusi lcd itaonesha kijivu na oled itakuwa nyeusi.

View attachment 2013099

2. Qled nayo ni lcd huwezi ona utofauti wake kwenye mazingira ya kawaida ila Qled kwenye HDR10+ na Dolby vision haina mpinzani, hasa kama ukumbi wako una Taa nyingi.

3. Nanocell ni aina ya display zenye input lag ndogo, zenyewe hazipo kwa ajili ya quality bali kwa wale wanaotaka latency ndogo kama gamers.

4. Iphone 13 pia ina mambo yake ukitumia ukaaji chaji wake ni mkubwa utaona tu utofauti na zile iphone ambazo watu wanatembea na chaja.

Chief Kuna TV LG 55A1PVA inches 55 inauzwa 3.2m

Na pia kuna LG 55BX bei ni 3.55m
Kindly your recommendetions pls
Zote ni OLED
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,719
2,000
Kitu cha muhimu sana katika kipimo cha resolution kwenye display ama TV ni pixel density au pia PPI (Pixels Per Inch). Maneno kama HD, Full HD, 4K n.k. ni porojo tu za kuuzia bidhaa sokoni.

Kitakachokupa ubora zaidi wa picha ni PPI kwa maana ya idadi ya pixels katika kila inchi ya display. Kadri unapoongeza kiwango cha PPI katika display ama TV ndivyo ambavyo ubora wa picha (quality/sharpness) unavyoongezeka. Bila kusahau pia teknolojia ya display husika.

Kitakachokuonesha kwa haraka utofauti wa 4K video kati ya display moja na nyingine ni PPI. Mfano: kati ya TV ya inchi 40 na nyingine yenye display inchi 65 zote zikiwa na 4K resolution, yenye inchi 40 itakupa picha yenye ubora (quality/sharpness) zaidi kuliko yenye inchi 65 sababu yenye inchi 40 ina PPI kubwa zaidi kuliko yenye inchi 65.

Muda au wakati wa uundwaji kati ya TV moja na nyingine huwa si kigezo cha muhimu. Muhimu zaidi ni pixel density pamoja na display technology iliyotumika.
Mambo ya ppi yanamake sense kwenye simu na Tablet kuliko tv kwa sababu tv zinakaa mbali sana na wewe ulipo.

Tech kama HDR10, Dolby vision ni muhimu sana hasa kama una content zake.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,719
2,000
Chief Kuna TV LG 55A1PVA inches 55 inauzwa 3.2m

Na pia kuna LG 55BX bei ni 3.55m
Kindly your recommendetions pls
Zote ni OLED

Hio bx mkuu kali sana inasupport VRR refresh rate, input lag ndogo kuweza hata kutumika kwenye monitor na kuchezea games, Hdmi 2.1 kwa content za kisasa na 120hz kwa resolution tofauti tofauti.

A01 ni entey level ya mwaka huu ndio maana bei kidogo imechangamka.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,621
2,000
Utofauti unakuja kwa content unayoiangalia.

Huwezi chukua video yako ulioishoot na tecno whereva uiweke kwenye 8k tv utegemee uione ikiwa 8k.

Tafuta 8k video uweke kwenye tv ya 8k uone kama utaongea hizi pumba.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,529
2,000
Mambo ya ppi yanamake sense kwenye simu na Tablet kuliko tv kwa sababu tv zinakaa mbali sana na wewe ulipo.

Tech kama HDR10, Dolby vision ni muhimu sana hasa kama una content zake.
HDR technology inaboresha rangi ya muonekano wa picha lakini haina mahusiano na resolution ya display ama TV.

Kwa sababu msingi wa alichokisema mleta uzi ni resolution, kitu cha muhimu zaidi hapo ni PPI ukizingatia utofauti wa ukubwa (size) wa TV mbalimbali.
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,388
2,000
Hi. Mfano wa hizo technology zenyewe ni
1. QLED
2. OLED
3. ULED
4. UHD4K
5. VIDAA
6. NAnocell
7. CrystalUHD
8. NeoQLED
9. OLEDevo
10. iphone 13

Ukichukua hiyo tv mpya na tv ambayo ulinunua kipindi kilichopita kabla ya hiyo kutoka ukaziweka pamoja na ukaplay video ya aina moja labda video yenye 4K resolution hautaona tofauti ya picha hata ukiziangalia ukiwa kwa angle labda tofauti yake inakua ni kidogo sana mpaka mtu umwambie ni kama watu wenye iphone 13 wanavyo jieleza kuwa hii ni iphone 13 lakini asipo sema unaweza kuzani ni iphone 12 au 11
Tatizo lako umemezwa na mtaa wa Aggrey
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,719
2,000
HDR technology inaboresha rangi ya muonekano wa picha lakini haina mahusiano na resolution ya display ama TV.

Kwa sababu msingi wa alichokisema mleta uzi ni resolution, kitu cha muhimu zaidi hapo ni PPI ukizingatia utofauti wa ukubwa (size) wa TV mbalimbali.
Amesema ukiplay kitu cha 4k huoni utofauti,
Tv ya 4k yenye hdr 10 na tv ya 4k ya kawaida utofauti wake ni mkubwa mno.

Qled ni on paper haifikii oled ila cheki comparison ya Qled ikiwa na HDR10/Dolby vision utaona jinsi hizi tech zilivyo vizuri.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,529
2,000
Amesema ukiplay kitu cha 4k huoni utofauti,
Tv ya 4k yenye hdr 10 na tv ya 4k ya kawaida utofauti wake ni mkubwa mno.

Qled ni on paper haifikii oled ila cheki comparison ya Qled ikiwa na HDR10/Dolby vision utaona jinsi hizi tech zilivyo vizuri.
Naelewa umuhimu wa HDR technology lakini hoja yake ime-base kwenye resolution ndio maana ameishia kusema 4K.

4K ni resolution na haina uhusiano wowote ule na HDR technology. Hivyo ni vitu viwili tofauti, pia havihasimiani katika utendaji kazi.

Kwa vile 4K ni resolution, hoja ya msingi ni ileile kuwa, suala la muhimu zaidi hapo ni PPI. Sababu PPI inashughulika na resolution moja kwa moja kwa maana ya idadi ya pixels katika display. HDR inashughulika na rangi pekee.
 
Hebu soma vizuri mtoa mada kaongea mambo kibao na resolutiona wala hajaongelea, ametoa mfano wa kuplay video ya 4k kwenye tv mbili na huoni utofauti.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,529
2,000
Hebu soma vizuri mtoa mada kaongea mambo kibao na resolutiona wala hajaongelea, ametoa mfano wa kuplay video ya 4k kwenye tv mbili na huoni utofauti.
Ameongelea 4K. Hiyo 4K ni resolution. Wala haihusiani kabisa na HDR. Mfano wake umejikita kwenye resolution.

Utofauti wa muonekano wa picha upo pale kunapokuwepo utofauti wa PPI, hata kama TV zote ni 4K na vitu vingine vikiwa sawa.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,719
2,000
Ameongelea 4K. Hiyo 4K ni resolution. Wala haihusiani kabisa na HDR. Mfano wake umejikita kwenye resolution.

Utofauti wa muonekano wa picha upo pale kunapokuwepo utofauti wa PPI, hata kama TV zote ni 4K na vitu vingine vikiwa sawa
4k video sio 4k tv, video ya 4k ina ppi?

For the sake of discussion tu assume upo sawa

Tv mbili za 4k ppi si kila kitu na pengine usione utofauti wowote kwa machp sababu ya distance ya tv.

Siku zote ppi haipimwi bila kuangalia distance baina ya kifaa na jicho lako, tv zinakaa mbali na machp yetu, unless una kasebule kadogo sana na tv unaiangalia kwa karibu huwezi ona pixel kwenye 55 ama 65 inches 4k tv.

Screen sizeOptimal distance for 4K TVsOptimal distance for 1080p TVs
32″2.0 ft. (0.61 m) 4.3 ft. (1.31 m)
40″ 2.6 ft. (0.79 m)5.2 ft. (1.57 m)
43″2.9 ft. (0.87 m) 5.7 ft. (1.75 m)
50″3.2 ft. (0.96 m) 6.6 ft. (2.01 m)
55″3.7 ft. (1.14 m) 7.2 ft. (2.18 m)
60″ 4.0 ft. (1.22 m)7.7 ft. (2.36 m)
65″ 4.3 ft. (1.31 m)8.6 ft. (2.62 m)
70″ 4.6 ft. (1.40 m)9.2 ft. (2.79 m)
75″4.9 ft. (1.48 m) 9.7 ft. (2.97 m)

Hii ni table ikionesha kioo cha tv na umbali ambao ukikaa unaona pixel.

Angalia tv kubwa kabisa ya inch 75 ili uone pixel inabidi ukae ndani ya mita na nusu toka ilipo tv, kama una sebule kubwa na unakaa mita 3 toka ilipo tv huwezi tofautisha kwa macho baina ya full hd na 4k kwenye tv ya inch 75.

Hapo ndo inapokuja Hoja yangu, tv za 4k ni kali sababu ya extra features kama HDR 10 na dolby vision hizi huongeza idadi ya rangi na pia mwanga ili kuonesha picha angavu zaidi. Tech kama oled pia husaidia kuonesha black level nzuri.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,529
2,000
4k video sio 4k tv, video ya 4k ina ppi?

For the sake of discussion tu assume upo sawa

Tv mbili za 4k ppi si kila kitu na pengine usione utofauti wowote kwa machp sababu ya distance ya tv.

Siku zote ppi haipimwi bila kuangalia distance baina ya kifaa na jicho lako, tv zinakaa mbali na machp yetu, unless una kasebule kadogo sana na tv unaiangalia kwa karibu huwezi ona pixel kwenye 55 ama 65 inches 4k tv.

Screen sizeOptimal distance for 4K TVsOptimal distance for 1080p TVs
32″2.0 ft. (0.61 m)4.3 ft. (1.31 m)
40″2.6 ft. (0.79 m)5.2 ft. (1.57 m)
43″2.9 ft. (0.87 m)5.7 ft. (1.75 m)
50″3.2 ft. (0.96 m)6.6 ft. (2.01 m)
55″3.7 ft. (1.14 m)7.2 ft. (2.18 m)
60″4.0 ft. (1.22 m)7.7 ft. (2.36 m)
65″4.3 ft. (1.31 m)8.6 ft. (2.62 m)
70″4.6 ft. (1.40 m)9.2 ft. (2.79 m)
75″4.9 ft. (1.48 m)9.7 ft. (2.97 m)

Hii ni table ikionesha kioo cha tv na umbali ambao ukikaa unaona pixel.

Angalia tv kubwa kabisa ya inch 75 ili uone pixel inabidi ukae ndani ya mita na nusu toka ilipo tv, kama una sebule kubwa na unakaa mita 3 toka ilipo tv huwezi tofautisha kwa macho baina ya full hd na 4k kwenye tv ya inch 75.

Hapo ndo inapokuja Hoja yangu, tv za 4k ni kali sababu ya extra features kama HDR 10 na dolby vision hizi huongeza idadi ya rangi na pia mwanga ili kuonesha picha angavu zaidi. Tech kama oled pia husaidia kuonesha black level nzuri.
Unapofanya ulinganisho wa 4K video kati ya TV moja na nyingine, kuna factors muhimu zaidi za kuzingatia ikiwemo size ya TV ukilinganisha na uwezo wa resolution wa hizo TV. Kwa case hii, uwezo wa resolution kati ya TV hizo unapaswa kuwa sawa ama kutotofautiana ili kuweza kuzingatia kigezo kingine kinachoweza kuathiri kwa haraka muonekano wa picha.

Kwa sababu hiyo ni vyema zaidi kulinganisha genuine 4K video kwa kutumia 4K TV pekee kwa sababu ubora wa video kupitia resolution hautoathiriwa na up-scaling ama down-scaling ya video resolution hivyo kutoathiri kipimo cha ulinganisho. Kitu kikubwa kinachoathiri zaidi video resolution ni native resolution ya display ama TV.

Unapolinganisha vitu viwili kupitia msingi mmoja, inabidi masuala mengine yanayoweza kuathiri ulinganisho huo yasiwe na utofauti. Unapoingiza utofauti wa distance ama HDR kama kigezo kingine cha ulinganisho, automatically unaathiri msingi wa ulinganisho.

Kuhusu HDR: kama ulivyosema kuwa ni miongoni mwa "extra features", haihusiani kabisa na resolution. Unapo-scale 4K video katika TV yoyote ama display nyingine, suala la msingi linaloathiri kwa haraka zaidi ubora wa picha (image clarity) kati ya display ama TV moja na nyingine ni PPI sambamba na native resolution.
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,696
2,000
Mjomba hio nano cell unaiona movie kama love vile haswa ikiwa 1080p au 720p clear ajabu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom