Hizi smartphone jamani...

Hizi smartphone jamani...

Hiyo si kweli ni kufurahisha ukurasa huu ili tuchekee tu na hapo hakuna ibada ni sifa tuu
 
Nilishawahi kwenda kusali msikiti fulani nikarudi peku......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hiyo si kweli ni kufurahisha ukurasa huu ili tuchekee tu na hapo hakuna ibada ni sifa tuu

Ni kweli hayo. Sie msikitini kwetu tumeweka tahadhari kabisa maana wapo watu ni addict na JF wanapost wakati wote bila kujali wako wapi. Ila imetuongezea mapato kwa kiwango fulani. Ritz upo mkuu?
ImageUploadedByJamiiForums1418121568.789480.jpg
 
Last edited by a moderator:
Huyo kwake umeme ulikatika ikabidi akachaji simu msikitini hakwenda kusali.
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom