Hizi sitaki nataka nazo..!

Haya boss wangu, c unajua mi nafuata oda zako naja.

Haus gal ananiita hivyo, na wewe uniite hivyo??!!! Aaaaah! Tafadhali mamiiiii . . . au umeshabadilishana vyeo na hausi geli wako so that yeye ndo ananiita . . . :roll:
 
Kweli Babu lao,wanaume wengine wanazunguka weeeee,akueleze babu yake alikuwa chifu,mama yake alikuwa katibu wa chama enzi za nyerere sijui yeye alisoma english medium kipindi hicho hazipo nyingi.......then baada ya miezi sita huyo....Michelle i do love you.......kuwa muwazi mapema....sio kutumia muda na effort kubwa at the end kama siku-feel ndo hivyo tena........:laugh::laugh:

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Michelle, hawa watu si mchezo rafiki yangu mi waga nachekaga tu saa ingine!!!!
 
Usista du huo. Wanaume nanyi muwe strait to the point tadhali! Eleza shida acha kupiga misele, loh.
 
Ilikuwa zamani kwako....mimi kama mwanamke nakutana nao....guest anaweza kuwa alikuja kwakuwa ulimwambia mkutane hapo mzungumze mkiwa mmepumzika na private yeye hakuwa na fikra za sex kama wewe.....kufuatwa guest si lazima kuwe kwa ajili ya sex :laugh::laugh:

mazungumzo chumbani..! Tena wengine kabla ya kwenda mnakubaliana kabisa the way forward ni kuchakachuana
 
mazungumzo chumbani..! Tena wengine kabla ya kwenda mnakubaliana kabisa the way forward ni kuchakachuana

Amekutafakari kabla ya kutimiza mliokubaliana akaona hustahili kupewa heshima ya kuchakachuana nae.....haihitaji shule kuelewa hilo.....makubaliano yaweza vunjika akaona sehemu ya kukuambia ni pale mlipoahidiana mkutane.......:embarrassed:
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Michelle, hawa watu si mchezo rafiki yangu mi waga nachekaga tu saa ingine!!!!

Mi huwa nacheka na kuwahurumia....unaweza muambia akakuzima so unamuacha tu achukue muda na nguvu yote at the end kama unaona hakufai basi tena.....ila inauma:coffee:
 
Usista du huo. Wanaume nanyi muwe strait to the point tadhali! Eleza shida acha kupiga misele, loh.

Yaani tukifanya hivi tutakuwa tunavunja kanuni za ku-approach ladies tulizojiwekea . . . . lol
 
Amekutafakari kabla ya kutimiza mliokubaliana akaona hustahili kupewa heshima ya kuchakachuana nae.....haihitaji shule kuelewa hilo.....makubaliano yaweza vunjika akaona sehemu ya kukuambia ni pale mlipoahidiana mkutane.......:embarrassed:

sasa hiyo ndo "sitaki nataka" bt si mbaya coz mwisho wa siku huwa mnaingia line
 
Hii ipo sana, ila tatizo ni sisi vidume wenyewe kuwabembeleza sana hawa watu.... Cha msingi ni kuhakikisha katika siku 3 za kukutana hakikisha ana-declare interest kama unaona hana muelekeo achana nae... Mwaka mzima unamfuatilia mtu, unatafuta nini na ndio maana wanaleta pozi!!! :msela:
Raha ya kumfukuzia mwanamke akiringa kidogo na pozi kwa mbali sio anakubali siku ya kwanza na kubanjuana siku hiyohiyo inaondoa msisimko.
 
duu! Cjui niwe upande gan hapa mana kote kote kunaMATATZO yan c mchezo labda nitoke nirud bidae kdogo mana mh!
 
Haus gal ananiita hivyo, na wewe uniite hivyo??!!! Aaaaah! Tafadhali mamiiiii . . . au umeshabadilishana vyeo na hausi geli wako so that yeye ndo ananiita . . . :roll:

Ameniiga.
 
Back
Top Bottom