HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 178
- 214
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.
Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa.
Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki