Chungu_tamu
Member
- Dec 16, 2010
- 22
- 5
Kama na waislamu wana maua,nyimbo na mapambo mengine wanaweza kufanya hivyo kwa kuwa hakuna sheria inayozuia kufanya hivyo.Ni suala la kuingiza kwaenye bajeti tu!!
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Umegundua mkuu rafudhi hii ni kama ya Malaria sugu!!Malaria sugu umepotea njia... naomba mods waipige bun na hii id yako
Kama na waislamu wana maua,nyimbo na mapambo mengine wanaweza kufanya hivyo kwa kuwa hakuna sheria inayozuia kufanya hivyo.Ni suala la kuingiza kwaenye bajeti tu!!
Acheni kulalama tu chukueni hatua:
- Jengeni shule msomeshe watu wenu
- Kama maua pambeni hamzuiwi
- Msitegemee sana misaada jisaidieni wenyewe
- Dini zingine sio kikwazo chenu, kikwazo ni nyie wenyewe
- Acheni uhasama
- Msifuge majini