Hizi saa nitazipata wapi? How much?

Ni mzuri kweli kweli ila adimu. Labda jaribu kuulizia nchi za Ulaya unaweza kuzipata au kama una rafiki yako Mjerumani muagize akuletee.
 
Nilimnunulia bro wangu saa kama hiyo abroad kwa dollar 250 mwaka jana, ingawa yenyewe ilikuwa rangi ya gold.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…