Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

Hizo Pin ni kwa Usalama wenu na kama hamjui sio Halotel tu ila line zoote kuanzia Julai zitakuwa hivyo
 
Agizo la TCRA hili, mitandao yote ita implement hii kitu
 
Wanazuia mtu akiiba simu yako au akiipata line yako kwa njia zozote asiitumie kufanya utapeli kwa watu wengine kama ilivyo sasa. Kuna jamaa kaibiwa cm wiki iliyopita mwizi kawatapeli baadhi ya ndugu na jamaa zake. So hiyo PIN ina prevent that pamoja na wale wa "ile hela tuma kwa namba hii".
hivi kwanza wanamaana gani kuweka ulinzi wa namna hyo. huo ulinzi bado sijaona umuhimu wake
 
Hizo pin hazitoki hata kwa ngumi!
 
Pin zimeanza juzi juzi labda oktoba. Hata mimi nilirenew laini ya halotel nikapata yenye pin na haitoki.
 
Ninayo line mpya nimesajili si mda mrefu sana hata mwaka haujafika, imetoka hio pin. Sijafahamu kama kuna utaratibu umebadilika.
Mkuu kwa hilo inakataa labda uishie kuchange password tu .

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…