Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

Ninayo line mpya nimesajili si mda mrefu sana hata mwaka haujafika, imetoka hio pin. Sijafahamu kama kuna utaratibu umebadilika.
Kwa sasa hakuna kitu cha namna hiyo
Nina Airtel na halotel zote hazitoki

Zina fail

Hizi ni za juzi hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20210217-095050.png
    7.7 KB · Views: 46
wanatupoteza baadhi ya wateja kunawengine hata haya mapassword wala pattern hawataki sasa we leo unawaletea pin code tena kwa lazima
 
wanatupoteza baadhi ya wateja kunawengine hata haya mapassword wala pattern hawataki sasa we leo unawaletea pin code tena kwa lazima
Wangesema tu line zote zije na pin code by default ila kuwe na njia ya kuizima kwa wasiotaka. Ssa hapo mtu huwezi hata tumia hyo line kwenye router

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangesema tu line zote zije na pin code by default ila kuwe na njia ya kuizima kwa wasiotaka. Ssa hapo mtu huwezi hata tumia hyo line kwenye router

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna watu internet tupo serious nayo sasa hapo nkama kutupangia matumizi ya lain yaan itumike kwanye simu tuu. mfan mim shida yangu ilkuwa ni internet ya moja kwa moja kweny pc maana spend kuunganisha kwa njia ya simu
 
Chamsingi uelewe tu hazitoki kwa namna yoyte ile zinakuja na lain ni unachoweza kukifanya ni kuzibadirisha tu ila kuzitoa sahau
Sasa ulifungua uzi wa nini? Si kila mtu a naamini vitu kirahisi na kufikia conclusion hapo hapo, sijakutana na line ya namna hio Ila naamini njia mbalimbali zinaweza tumika kutafuta solutions.
 
Chamsingi uelewe tu hazitoki kwa namna yoyte ile zinakuja na lain ni unachoweza kukifanya ni kuzibadirisha tu ila kuzitoa sahau
Zinatoka mkuu acha kudangany watu. Anewei kama umeshafika hitimisho by urself kuwa hazitok bc ishi humo🤐
 
Zinatoka mkuu acha kudangany watu. Anewei kama umeshafika hitimisho by urself kuwa hazitok bc ishi humo🤐

mala ya mwisho umesajili lain ya halotel mpya ni lin?
 
Sasa ulifungua uzi wa nini? Si kila mtu a naamini vitu kirahisi na kufikia conclusion hapo hapo, sijakutana na line ya namna hio Ila naamini njia mbalimbali zinaweza tumika kutafuta solutions.

nimefungua kwa wale wanaotaka kusajili lain kwa sababu kama zangu za matumizi ya internet kwa njia ya modem au router wakae wakijua pin code ni tatizo
 
-Umejaribu app ya sim hakuna option hio?
-Pia jaribu kupiga customer care
Sasa hivi haiwezekani iwe kwa option ya kwanza ama ya pili nadhani issue iko nje ya utawala especially walio sajili na kurenew laini wiki iliyoisha huko.

Kama pc ina slot ya card jaribu kwa window 10 inaweza toka ngoja nitest
 
Ni.epata hii meseji lleo.

Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

Sent from my cupboard using mug
 
Ni.epata hii meseji lleo.

Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

Sent from my cupboard using mugView attachment 1707166

nilicho kielewa hapo ni kubadili tu ila sio kutoa kabisa
 
hivi kwanza wanamaana gani kuweka ulinzi wa namna hyo. huo ulinzi bado sijaona umuhimu wake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…