nenda tools then Pin operation kama sikosei utaweza kutolea hapohuawei flan hivi inasupport mitandao yote
Hazitoki hizo pin kama umezikuta kwenye lain mpya ukiweka off inaandika pin errorNiliwahi kuwauliza wanasema ni Agizo la Tcra.
Anyway kutoa si ngumu kwa simu nenda setting Kisha security Kisha tafuta pincode ama simlock ama neno lifananialo then weka off haitakuja Tena...
Modem Pia ina uwezo wa kutoa Ila long time nimesahau process, nenda tu kwenye dashboard Kisha option/tools somewhere utaikuta option ya kuweka off.
Ninayo line mpya nimesajili si mda mrefu sana hata mwaka haujafika, imetoka hio pin. Sijafahamu kama kuna utaratibu umebadilika.Hazitoki hizo pin kama umezikuta kwenye lain mpya ukiweka off inaandika pin error
Mim ninayo ya airtel tokea mwaka jana imegoma na jana nimesajil halotel na yenyewe ikanambia hivyo hivyo pin errorNinayo line mpya nimesajili si mda mrefu sana hata mwaka haujafika, imetoka hio pin. Sijafahamu kama kuna utaratibu umebadilika.
Pin ikigoma kutoka basi hyo linr ina shida. Wapigie wenyewe uwape taarifaHazitoki hizo pin kama umezikuta kwenye lain mpya ukiweka off inaandika pin error
Mbona mm line zote nilizosajili hazikuwa na PIN code yoyote. Halotel nilisajili kma miezi mi 6 hvi iliyopita na siku kuta PIN code. Airtel nilirenew line mwezi wa 11 na haikuwa na PIN yoyote activated. Hzo line wenzetu mnanunulia wapiMim ninayo ya airtel tokea mwaka jana imegoma na jana nimesajil halotel na yenyewe ikanambia hivyo hivyo pin error
Ndio najua mim mpaka nishaga change zile zao nkaweka mpya ila kuweka off inazngua et pin code errorPin code wameziandika pale nyuma ya line
Ndio najua mim mpaka nishaga change zile zao nkaweka mpya ila kuweka off inazngua et pin code error
Kwa sasa ukisajil laini mpya lazima iwe na pin code ni agizo kutoka tcra sawaWeka kwenye simu disable pin code then uendelee kutumia
Mbona mm line zote nilizosajili hazikuwa na PIN code yoyote. Halotel nilisajili kma miezi mi 6 hvi iliyopita na siku kuta PIN code. Airtel nilirenew line mwezi wa 11 na haikuwa na PIN yoyote activated. Hzo line wenzetu mnanunulia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app