Hizi picha zinanishangaza..

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,097
Reaction score
12,724
Mambo ya vidoleeez
Au makamu alikuwa akipewa amri, na wewe nyoosha vidole?
 
du, sasa hapo umeshangaa nini? au nao huu ni uchambuzi wa kipolitiko?
 
Wengine hawa..........
Mtu na Mchumba wake!
 
du, sasa hapo umeshangaa nini? au nao huu ni uchambuzi wa kipolitiko?
Kinachoshangaza ni vidole mkuu,kwa kawaidi anayeonyesha hunyoosha kidole na anaonyeshwa huangalia,sasa cha ajabu ni kwamba wote wamenyoosha vidole!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…