Hizi picha zina ukweli??

Hapo ungeweka picha hiyo ya kwanza akiwa anatembea barabarani peke yake
Comments zingekuwa tofauti kabisa
Ungeona wooow, tupia namba, bomba, anaishi wapi, au ni mnyaruanda

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
HahaahaH dah kweli kabisa aiseeeee

You are strong than what you think...
 
HahaahaH dah kweli kabisa aiseeeee

You are strong than what you think...
Inatisha kwa kweli
Au angekuwa mgeni wa JF na kujitambulisha humu PM yake ingejaa
Halafu baada ya kuwanasa wengi akaanza kuweka picha zake alivyokuwa kakonda

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa taarifa yenu ni kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na mtu asiye na maambukizi.
Tofauti iko kati ya mtu mwenye/asiye na maambukizi na mtu mwenye ukimwi.
Anayetumia dawa vizuri haambukizi tena!
Anaweza kupata watoto wasio na maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo tunapofeli vijana. Binafsi baada ya kujua madhara ya kuikomoa ngenya kisa uonekane kidume sijui nmeamua hizo sifa niwaachie wenzangu. Sahivi ni mwendo wa Slow motion for me!
 
Hapo ndipo tunapofeli vijana. Binafsi baada ya kujua madhara ya kuikomoa ngenya kisa uonekane kidume sijui nmeamua hizo sifa niwaachie wenzangu. Sahivi ni mwendo wa Slow motion for me!
Hahahaha

You are strong than what you think...
 
Naona Umeongea Juuchini Hongera Sana
You are strong than what you think...
 
Kila mtu angemkana, watu wangekuja na ID mpya kibao!! Inapokuja issue ya Ngoma kila mtu anakataa kuwa Hana
Inatisha kwa kweli
Au angekuwa mgeni wa JF na kujitambulisha humu PM yake ingejaa
Halafu baada ya kuwanasa wengi akaanza kuweka picha zake alivyokuwa kakonda

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

You are strong than what you think...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…