Hizi photocopy zinatunzwa wapi?

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,801
2,000
Ukienda kusajili line ya simu unaombwa photocopy ya kitambulisho, hizi nakala zinatunzwa wapi?

Je haziwezi kutumika kihalifu kama kusajili line nyingine na kutumika kihalifu?
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,801
2,000
Kwanini wasiscan na kunirudishia nakala yangu? Na hao wenye mimvuli kado ya barabara scana wanatoa wapi?
 

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,486
2,000
Kwanini wasiscan na kunirudishia nakala yangu? Na hao wenye mimvuli kado ya barabara scana wanatoa wapi?
tena hawa jamaa wa barabarani ni balaa unaweza ukawapa nakala yako wakaitumia kusajiria laini nyingi tu za wateja wengine,alafu marA nyingi wala hawazipeleki kule kwnye ofisi zao na unaweza tumia laini hata mwaka lakn ukicheki usajiri unaambiwA umesajiriwA kwa muda na usajiri wako utakamilika utakapoleta nakala ya kitambulisho chako na wakati huo yule jamaa wA road ulimuachia .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom