co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Habari za humu ndani,kuna kitu ninauliza..kuna wimbi la vijana wengi siku hizi hapa Dar kuvaa pete kidole kidogo cha mwisho au kidole gumba au kidole cha kwanza baada ya dole gumba...hizi huashiria nini? Nataka kujua nini maana yake katika mahusiano au ndo wale wako katika mahusiano ya kimapenzi na majini au mashetani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums