Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,940
@munisijo mimi huwa napenda sana kuuliza jibu sio swali kweli nipo Afghanstan kwa mzee Laden karibu unakaribishwa huku nakunywa sana maziwa ya mbuzi na kuchunga mbuzi,ngamia na kondooo karibu mkuu.Msimlaumu jaman, labda yupo Afganstan..nafkr website ya anazpata kwa lugha ya hko, ameshndwa kutafsr....
]@MUSSOLIN kisema Mwanza zinatumika kwani mwanza sio Tanzania? au Mwanza ipi? Mwanza ya Uganda?
Na hizi Pesa za Zimbabwe zinatumika?
$25 Billion For A Loaf Of Bread
[TABLE="width: 900"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"]Past banknote issues in Tanzania. These banknotes are no longer in circulation. JE Hizi pesa zinatumika hapo Tanzania?[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Ninaomba jibu jamani mimi sipo hapo nyumbani.
MziziMkavu inabidi nicheke tu maana mambo ya dunia hii ukiyachukulia kingangari kama yanavyokujia utakufa siku si zako.Mkuu mwaJ nimebahatisha tu bibie kwa kucheka hodari sana ....