hizi nywele za chini sizitakitena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hizi nywele za chini sizitakitena.

Discussion in 'JF Doctor' started by dubu, Oct 31, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  haya mavuzy yananipa karaha.kila nikinyoa upele huo.utakuta kila siku najikuna hadi najichubua.hadi staman kunyoa.nini dawa au nifanyeje ili niondokane na hii hali?naomba msaada.
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe ni ke/me?
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna ujanja. Ukotoa kwa kutumia wax unaweza kupumzika mwezi between sessions. Ila kama upo ulaya wanaweza kuzitoa kwa kutumia teknolojia ya leza (laser) na zisiote tena... It is expensive lakini.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ndiyo tatizo la mitandao ya kijamii hatufahamiani hata sex zetu!!!
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Usinyoe kwa uwembe,nyoa kwa makasi,hivyo vipele utavisikia tu.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hii nmekubaliana nayo.hapo hamna tena kunyoa para.au afuge rasta.mia
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nataka ujue kuwa muumba sio mjinga, ikiwa utaondoa mavuzi forever halafu ukapata tatizo usije kuwalaumu jf, huo utakuwa ujuha wako.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Lipa mapeni uhudumiwe kwa laser
   
 9. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu, jitahidi kutumia mkasi badala ya wembe.
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hivi mimi sijijui au nakaujinga??Hivi kama umepevuka unaweza kuandika huu upupu??Kwani wewe ni mara yangapi kunyoa??mpaka uone nikitu kigeni kwako?Pili na wasiwasi na umri wako!Vitu vingine ni kumaliza mwenyewe nakutafuta washahuri mwenyewe!!Nakumbuka nilipo ota mara yakwaza hizi nywele nilikuwa nikivaa kaptula naivutia kwa chini kidogo ili waone na mimi ninayo!!samething kwenye ndevu kila saa nilihitaji kukuna nakujisemesha kwa watu ndevu zinawasha na watu walionielewa lengo langu walinipa ukweli nakunibeza usijali dogo mbona zitakuja na utazichoka!!Sasa na wewe huna pakuongelea umeamua ulete hapa ujidai kwetu!!kwakujua huku hakuna anayekufahamu ila ulitamani uweke kwenye Facebook ila kule hukutegemea kama ipo siku utakuwa na mawazo mgando na kutakuwekaka mawazo haya kwakuwa ulishajiintroduce wewe ninani na watu wanakujua wengine na ni marafiki zako hivyo uwezi kuthubutu kuweka huu upupu unaoleta huku!!ila hapa JF unathubutu,unaweza kwakuwa hautambuliki na mtu!!!Yote heri na mbuzi ni wa Bwana Heri!!Pole kama nimekuandama ila ni sehemu ya kuelimishana!Karibu!
   
 11. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole usinyoe tena mwaya kama unaumia
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  nimechoka kuchangia jamani, weee ndugu acha tu liwe li msitu, kwenu kuna hasara gani?
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  KakaKiiza nimekumiss sana, ebu nidipu mwanakwetu! lol
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Nitakudipu!!!!lol sina dola kwenye voda yangu lol!!!
   
 15. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nyoa kuelekea chini namaanisha kuelekea miguuni na si kupandisha juu.....pia hakikisha umepaka sabuni medicated while unanyoa usinyoe kavu kavu
   
Loading...