Zumbukuku Member Joined May 17, 2011 Posts 70 Reaction score 26 Aug 10, 2011 #1 Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF.. ...
Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF.. ...
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,028 Reaction score 3,898 Aug 10, 2011 #2 Hiyo laptop itakuwa inachajiwa kwa Sola
K Karry JF-Expert Member Joined Mar 26, 2011 Posts 266 Reaction score 16 Aug 10, 2011 #3 safi sana naona ni ule mpango wa laptop kwa wote Zumbukuku said: Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF.. ...View attachment 35086 Click to expand...
safi sana naona ni ule mpango wa laptop kwa wote Zumbukuku said: Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF.. ...View attachment 35086 Click to expand...
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,870 Aug 10, 2011 #4 Aaa wapi, duka la picha hilo
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,067 Reaction score 299 Aug 10, 2011 #5 Huyo aliyepiga picha ndo alikuwa na laptop akawapa wakashika.Maana hata kamera sijui kama wanayo hao.
Huyo aliyepiga picha ndo alikuwa na laptop akawapa wakashika.Maana hata kamera sijui kama wanayo hao.
Bambanza jr. JF-Expert Member Joined Aug 6, 2011 Posts 355 Reaction score 36 Aug 10, 2011 #6 nguo tu hawana je laptop wamewezaje? Ebwana nyenjenkuru umesema kwel. Ila nae alyewapa apimwe akil 2jue ana kilo ngap kwan mahitaj muhim zaidi ya mwanadam ni malaz,mavazi na chakula c laptop so angewapa nguo kwanza... Au sio wadau?
nguo tu hawana je laptop wamewezaje? Ebwana nyenjenkuru umesema kwel. Ila nae alyewapa apimwe akil 2jue ana kilo ngap kwan mahitaj muhim zaidi ya mwanadam ni malaz,mavazi na chakula c laptop so angewapa nguo kwanza... Au sio wadau?
J JACADUOGO2. JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 930 Reaction score 220 Aug 10, 2011 #7 Kwa nini wanunue laptop wakati wanalala njaa?