Hizi ni sifa zangu, natafuta Kazi

aisee kaka mungu akusamehe sana. hata km umeshapata kaz usidharau wengine' na kutoa maneno ya kejeli. huwez jua kesho utaishi wap, jifunze kua na akiba ya maneno. km ww kijana unakua na roho mbaya hivyo kimawazo tu, je angekuja kukuomba hela ya kula ungesemaje, ushauri wangu jaribu kutembelea watu weny shida km wagonjwa, masikini wanaoshindwa kupata hata mlo mmoja wakupe historia ya maisha yao walao moyo ya ubinadam utakuingia... isee ww hata ukiwa baba wa familia huwezi acha maneno ya dharau
 
Hongera sn......
 
Ila ukae ukijua wengi walikuwa na kazi kama ww tena serikalini nadhan kinachokupa kiburi eti umeajiriwa serikalin eti una uhakika wa kula mpaka unastaafu lakn nikwambie wanadamu tunapanga lakin Mungu naye ana yake.......jitape sn dharau sn lakini ipo sku...
 

Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…