waje wasije wajulikane waliomshambulia lisu.Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.
Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:
1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.
2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.
3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.
4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.
Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
Na wewe mbona unatokota?Lissu imekuwa Risu ?Mkuu kwan jina lake hulijui LA pili?
1st name: Tundu
2nd name: Antipas
3rd name: Risu
Ehe kipi kimekupa shida mkuu apo?
Hawa ndio wachambuzi wabobezi tulio nao sasa JF, na ndio washauri wakuu wa CCM na serikali (Think Tank)
After all hata wakija watawategemea wapelelezi hawahawa wa kibongo kupata habari na kuwaongoza.waafrika bwana tuna matatizo ya kutojiaminiSi ushabiki tuu wa BAVICHA kama CIA, NSA,FBI, SWATS walindwa kubaini aliyemuua JFK wataweza hili?
Mmh pengine husomi habari za kimataifa ama una lako jamboHabarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.
Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:
1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.
2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.
3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.
4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.
Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
[QUOE="tindo, post: 23586151, member: 55693"]Mwambie huyo boya mwenzio hapo juu hao FBI walishindwa kumpata muuaji wa J.F. Kennedy kwa kuwa alikuwa amekufa, lakini Lissu yupo hai wataweza.
Vyombo vya kwetu ndio hovyo kabisa!Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.
Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:
1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.
2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.
3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.
4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.
Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
kwani ww uko dunia ya wapi ndugu? Hata hili la urusi kuingilia uchaguzi marekani hujuwi?'Ugoro mtupu
Wananchi waliliona hilo kabla yako wakaja na wazo la kumuomba MUNGU awafichue/awabainishe hao wauwaji.Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.