Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

01 ◉ Edson Arantes jina la utani, Pele ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi Duniani (1,281) including na magoli ya mechi za kirafiki.

02 ◉ Sergio Ramos anashikilia rekodi ya kuoneshwa kadi nyingi zaidi za njano (26) ndani ya mechi (38).

03 ◉ Kwenye top six EPL, Tottenham ndio klabu ambayo haijatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa muda mrefu zaidi. Wana miaka (59) bila kutwaa kombe la ligi kuu.

04 ◉ Lionel Messi ndiye binadamu pekee aliyefunga magoli mengi zaidi (91) ndani ya calendar ya mwaka mmoja.

» Messi pia ndiye binadamu pekee aliyetwaa tuzo nyingi zaidi za Ballon D'Or (7).

» Rais wa Liberia , George Weah anashikilia rekodi ya kuwa mwafrika pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon D'Or.

05 ◉ Robert Lewandowski anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi (5) katika mechi moja ndani ya dakika chache (9').

06 ◉ Jesse Lingard anashikilia rekodi ya forward aliyecheza mechi nyingi (25) bila kupiga shuti lolote golini.

07◉ Eric Bailly ndiye mchezaji pekee UEFA Champions league aliyepiga shuti mpira ukatoka nje ya stadium katika karne ya (21) ›› Man United vs Valencia.

08 ◉ Klabu ya Liverpool 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 inashikilia rekodi ya Dunia ya kukusanya points nyingi (97) kwenye msimu mmoja wa ligi yenye timu (20) bila kutwaa Ubingwa wa ligi kuu (18/19).

09 ◉ Sadio Mane anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema zaidi (Dakika 2') akiwa Southampton 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿.

10 ◉ Real Madrid ni klabu pekee kwenye historia iliyotwaa Ubingwa wa UEFA champions league mara (3) mfululizo

11 ◉ Hary Kane amefunga magoli (155) bila kutwaa kombe lolote

12 ◉ Aaron Svesve anashikilia rekodi ya kucheza dakika 90' bila kugusa mpira !!

13 ◉ Egypt ambao ni mabingwa mara (7) wa Africa hawajawahi kushinda mechi yoyote kwenye kombe la Dunia !!

14 ◉ Suleyman Mamam wa timu ya taifa ya Togo alicheza soka dhidi ya Zambia 2001 akiwa na umri wa miaka 13 na siku (310).

15 ◉ Golikipa Tom King kutoka Wales 󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 anashikilia rekodi ya kufunga goli kwa umbali mrefu zaidi. 21 January 2021 aliifungia goli klabu yake ya Newport county akiwa kwenye (6), umbali wa (96.01) meters.

16 ◉ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani (145).

17 ◉ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi UEFA champions league (140) anashikilia pia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa Duniani (123).

18 ◉ Pele alikuwa binadamu pekee aliyetwaa mara tatu kombe la Dunia. Rekodi hiyo inaishi mpaka sasa

19 ◉ Arsenal wanashikilia rekodi ya kutwaa Ubingwa wa EPL UNBEATEN, pia wanashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za ligi kuu (49) UNBEATEN- EPL 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿.

Arsenal pia wanashikilia rekodi ya timu za England zilizocheza mechi nyingi zaidi UEFA champions league but hawajawahi kutwaa Ubingwa.

20 ◉ Golikipa, Lev Yashin anashikilia rekodi ya kuokoa penati nyingi zaidi Duniani (140).



𝙏𝙊𝙈 𝘾𝙍𝙐𝙕
 
1. Cristian Ronaldo highest jumps record in the world football.
Screenshot_2023-09-10-12-45-28-69_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
Screenshot_2023-09-10-12-46-47-45_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom