Hizi ni Phase 3 ambazo kampuni inabidi Ipitie Ili Ikamilike

Hizi ni Phase 3 ambazo kampuni inabidi Ipitie Ili Ikamilike

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
126
Reaction score
186
Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika.

Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi kufanya biashara?

Ndio, ili iruhusiwe kufanya biashara, Kampuni yako inabidi Ipitie hatua hizi Tatu

1. Registration phase
Hapa unafanya registration of a company na utapewa certificate of Incorporation kama proof kwamba Kampuni yako imesajiliwa. Baada ya hapo unaenda stage ya pili.

2. TRA Stage
Kwenye stage hii unaenda TRA kwa ajili ya kupewa TIN number na certificate ya Kampuni, lakini pia kufanya Tax clearance.

3. Licensing stage
Kwenye stage hii unatafuta leseni ikiwa ni leseni ya kufanya biashara lakini pia leseni ya Sekta husika kulingana na aina ya biashara yako.

Hapa ndio Kampuni yako inakua imekamilika na utaruhusiwa kufanya biashara.

Hello, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni biashara au leseni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp au simu kwa namba 0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Nataka kufungua kampuni itakayosimamia uzalishaji na usambazaji wa bidhaa fulani. Je, natakiwa kusajili kampuni kwanza ndio niagize mashine za uzalishaji au niagize mashine kwanza ndio nisajili kampuni?
 
Vyote vinawezekana.
Lakini kama unataka ununuaji wa mashine uwepo kwenye rekodi ya matumizi ya Kampuni, basi sajili kwanza Kampuni.
Nataka kufungua kampuni itakayosimamia uzalishaji na usambazaji wa bidhaa fulani. Je, natakiwa kusajili kampuni kwanza ndio niagize mashine za uzalishaji au niagize mashine kwanza ndio nisajili kampuni?
 
Back
Top Bottom