Hizi ni dalili za stress au HIV?

mudy92

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
669
520
Wasalaam..

Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE)

Nimekuwa na Mambo haya yakunitatiza..

1-Maumivu ya Kichwa haswa kisogoni, Pia maumivu nikikitikisa kichwa

2-Maumivu ya shingo nikiigeuza au kuinama mbele

3-Maumivu ya Koo kama nimekabwa na kitu/kukaza misuli (Huwa nasumbuliwa na Tonsils)

4- Uchovu

Wakuu Niko njia panda hapa je hizi ni dalili za stress (tokana na yoga wa UKIMWI) au Dalili za HIV
 
Hizo tonsils ndo na Mimi zinanipa mashaka

Any way subiri after 3 months kapime tena ukikuta huna jiamini
 
Tulia huna ngoma wala nn , kapime baada ya miezi mitatu tena fresh .

Izo dalili zako ni sababu ya inflammation ya izo Tonsils alafu kwakua ni Chronic kwako inaonekana hata Usingizi hulali vzuri + Stress ulizojiwekea...LAZIMA Bichwa lako likuume , ukiinama/ukikitikisa kitakuuma tuu kama kawaida. ... Huo uchovu ni sababu ya Tonsils !

Acha kua na Stress
Tibu izo Tonsils
Lala usingizi Fresh
 
Wasalaam..

Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE)

Nimekuwa na Mambo haya yakunitatiza..

1-Maumivu ya Kichwa haswa kisogoni, Pia maumivu nikikitikisa kichwa

2-Maumivu ya shingo nikiigeuza au kuinama mbele

3-Maumivu ya Koo kama nimekabwa na kitu/kukaza misuli (Huwa nasumbuliwa na Tonsils)

4- Uchovu

Wakuu Niko njia panda hapa je hizi ni dalili za stress (tokana na yoga wa UKIMWI) au Dalili za HIV
Tonsils means mwili unajaribu kufight against the infections kwa kilaa hali...!! Pole Sana mkuu Kama kweli ulisex bila ndomu aiseeee...
 
Amesema anasumbuliwa na tonsils toka kitambo.... Au hujaelewa??

Achen Kumuua mChizi bana ,wakati ni Mzima.
 
Una stress kutokana na hofu ulioipata,ushauri wangu nenda kapime BP,hizo dalili pia watu wenye high blood pressure wanazipata...
 
Wasalaam..

Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE)

Nimekuwa na Mambo haya yakunitatiza..

1-Maumivu ya Kichwa haswa kisogoni, Pia maumivu nikikitikisa kichwa

2-Maumivu ya shingo nikiigeuza au kuinama mbele

3-Maumivu ya Koo kama nimekabwa na kitu/kukaza misuli (Huwa nasumbuliwa na Tonsils)

4- Uchovu

Wakuu Niko njia panda hapa je hizi ni dalili za stress (tokana na yoga wa UKIMWI) au Dalili za HIV
Mkuu ushauri wangu relax me nimekuwa Na shida kama yako muda mrefu nimekuwa nikienda Hosp sana tangu 2013 nilikuwa najihisi labda Nina HIV maana kila nikijaribu angalia njia zangu nikawa nakosa Amani kabisa ayo yote unayeleza nimepitia aseh ilifika point nikaenda Fanya operation ya tonsils lakini kipindi chote hiki sikuwahi pima HIV juzi nikasema liwalo Na liwe nikaenda pima hakuna sikuaminj nimepima sehemu nne tofauti hakuna na Sasa hivi najipima mwenyewe mara kwa mara hakuna kitu Ila nilichokuja gundua hayo mabadiliko yalianza bada ya kupata janga kubwa sana kwenye maisha yangu tangu apo afya yangu ikawa haieleweki kabisa ni kuumwa tu mara uchovu Yan balaaa Ila stress ni ugonjwa mbaya sana chunga mkuu mimi maada za humu ndo zilikuwa zinanifanya niziidi umwa aseh nilikuwa nikisoma mada humu ya ukimwi Na jinsi najisikia nasema kabisa hapa nimeumia la hasha nimejjitesa sana baada ya kupima nimekuwa Na Amani magonjwa sio tena sehemu ya mwili wangu
 
Hizo tonsils ndo na Mimi zinanipa mashaka

Any way subiri after 3 months kapime tena ukikuta huna jiamini
Alafu sijui ni kwa nini me pia nilienda Hosp sababu ya kusumbuliwa Na tonsil kuna like doctor liliniudhi sana likasema labda una HIV dah nilihisi nimekuwa wabaridi mwil mzima lakini unawezaje mwambia mtu ana HIV wakati hujampima mkuu tonsil ni ugonjwa tu kama magonjwa mengine jamani tusimpe jamaa mashaka sana
 
We unajaribu kujifariji tu, ukweli unaujua ndio maana huishi maseke...Kama uligonga kisifa ili uonekane kidume basi ujue umeumia.
 
Alafu sijui ni kwa nini me pia nilienda Hosp sababu ya kusumbuliwa Na tonsil kuna like doctor liliniudhi sana likasema labda una HIV dah nilihisi nimekuwa wabaridi mwil mzima lakini unawezaje mwambia mtu ana HIV wakati hujampima mkuu tonsil ni ugonjwa tu kama magonjwa mengine jamani tusimpe jamaa mashaka sana
Tonsil zinasumbua watu wenye weak immunity!
 
Punguza stress kula vizuri pumzika subiri miezi mitatu ukapime

Lakini kama ulitumia mundende ili uonekane wewe ni mtabe kazi unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom