Hizi Ndoto Buana...!.

nyumbatatu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,076
939
Unalala unaota umeokota hela, ukiamka huna kitu, Mara nyingine unaota umeokota dhahabu, ukiamka unajikuta wewe bado lofa Tu, " Sasa itokee unaota eti unakojoa, ukiamka Tu, Imoooooo!.
 
Back
Top Bottom