[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mkuu mambo ya india sisi tutajuaje
hiyo inaitwa inbreeding, uwezekano wa kuzaa taahira ni mkubwa.Kuoa mtoto wa baba mkubwa au mama wa kambo kwa mila zetu haifai na ni dhambi mkuu, hapo wote mnakua ni wa ukoo mmoja hivyo ni haramu kwenu kujimai. Ila kuhusu kuoa mtoto wa shangazi, mama mkubwa au mama mdogo hata waarabu wanaitekeleza ingawa kwetu africa haikubaliki kwa wengi.
hata faru john ilibidi ahamishwe kuzuia inbreedingWakuu mpo?
Nimekuwa India kikazi kwa muda wa miezi 2. Huko nilifanikiwa kuhudhuria harusi 3 za kitamaduni mjini Delhi. Kilichonishangaza ni kuwa maharusi walikuwa Watu Wa karibu sana.
Yupo aliyemwoa mtoto Wa shangaziye, mwingine mtoto Wa baba mkubwa na Mwisho mtoto Wa mama wa kambo(mamake masichana alifariki ndio babake akaoa mamake kijana)
Nilipoulizia waliniambia kuwa kawaida Mali yao inazunguka kwenye familia, haitoki nje.
Tena Hata wanandoa hawaulizwi idhini. Wapende wasipende wanaoana.
Hivi, ndoa inafaa kuangaliwa Mali au ni mapenzi. Na si hii ni dhambi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu mambo ya india sisi tutajuaje
Vitabu vitakatifu vipi? Unafahamu kwamba Kabla ya Ukristu na Uislamu wahindi walikuwa tayari wana dini zao na Maandiko Yao ya Kiroho?Wahindi walisha acha utaratibu Wa vitabu vitakatifu siku nyingi wanatanguliza Mali udugu baadae!!
Hahahah, ni kweli kabisa mkuu. Katika inbreeding Genetic disorders can be easily expressed even if they are carried by recessive allele.hiyo inaitwa inbreeding, uwezekano wa kuzaa taahira ni mkubwa.