Hepatis B
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 222
- 206
Wanawake waliopo kwenye ndoa walienda kwenye semina kuhusu ndoa. Muwezeshaji akawauliza mara ya mwisho kumwambia mme wako nakupenda lini? Wakajibu wengine asubuhi, wengine sasa hivi tu tumetoka. Akawambia haya kila mmoja amtumie msg mume wake amwambie nakupenda na wabadilishane simu ili waweze kusoma msg majibu yalikuwa hivi.
1. Unaota nin?
2. Umekumbwa na nin leo?
3. Huyo uliyekuwa nae ndo amekwambia unitumie hii msg?
4. Sema unachotaka hacha kujishaua.
5. Nani mwenzangu?
6. Najua umegongesha gari langu tu.
7. Hii msg ni yangu kweli?
8. Sema ulichokosa kabla sijarud.
9. Leo unipati ng'o.
10.Mda wa kwenda salon umefka?
1. Unaota nin?
2. Umekumbwa na nin leo?
3. Huyo uliyekuwa nae ndo amekwambia unitumie hii msg?
4. Sema unachotaka hacha kujishaua.
5. Nani mwenzangu?
6. Najua umegongesha gari langu tu.
7. Hii msg ni yangu kweli?
8. Sema ulichokosa kabla sijarud.
9. Leo unipati ng'o.
10.Mda wa kwenda salon umefka?