Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
aisee umesema niWanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.
Wanapenda sana maisha ya gharama na hasa mavazi, chakula, simu na usafiri, inapotokea ukaoa mwanamke mrefu anayejituma sana ktk kazi ujue hata dharau yake inaweza kuwa kubwa endapo atafanikiwa, kitandani si watamu sana ukilinganisha na kina andunje.
Hawapendi kuolewa na wanaume wafupi na ukikuta mwanamke mrefu kaolewa na mwanaume mfupi ujue 99% kampendea pesa na wakiongozana njiani huwa hawatangulizani pamoja lazima waachane kwa mita kadhaa, nyodo na maringo ndo zao.
Ni wasumbufu kwa mambo mengi sana, kifupi ni bora uoe mwanamke wa saizi ya kati kuliko mrefu, maana ikitokea akawa malaya basi wanajua sana kucheza na wanaume wenye pesa bila kujali afya zao.
udhibitishwe na "TBS"Huu uzi haufai kwa matumizi ya binadamu
njoo kwanza huku PMI see u
Mbona hizi sifa zinalandana na wanawake wafupi..Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.
Wanapenda sana maisha ya gharama na hasa mavazi, chakula, simu na usafiri, inapotokea ukaoa mwanamke mrefu anayejituma sana ktk kazi ujue hata dharau yake inaweza kuwa kubwa endapo atafanikiwa, kitandani si watamu sana ukilinganisha na kina andunje.
Hawapendi kuolewa na wanaume wafupi na ukikuta mwanamke mrefu kaolewa na mwanaume mfupi ujue 99% kampendea pesa na wakiongozana njiani huwa hawatangulizani pamoja lazima waachane kwa mita kadhaa, nyodo na maringo ndo zao.
Ni wasumbufu kwa mambo mengi sana, kifupi ni bora uoe mwanamke wa saizi ya kati kuliko mrefu, maana ikitokea akawa malaya basi wanajua sana kucheza na wanaume wenye pesa bila kujali afya zao.
Huu uzi haufai kwa matumizi ya binadamu
Sawa wacha hawa viumbe wapite apa watakileta umetafuta soft copy Google lakini?Umenikumbusha kitabu cha Mkenya mmoja kinaitwa " Unfit for Human Consuption" mwenye kujua kinapopatika tuwasiliane please
Nilikua nacho nikiwa form two ila class mate wangu alikichukua na hakukitudisha
Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.
Wanapenda sana maisha ya gharama na hasa mavazi, chakula, simu na usafiri, inapotokea ukaoa mwanamke mrefu anayejituma sana ktk kazi ujue hata dharau yake inaweza kuwa kubwa endapo atafanikiwa, kitandani si watamu sana ukilinganisha na kina andunje.
Hawapendi kuolewa na wanaume wafupi na ukikuta mwanamke mrefu kaolewa na mwanaume mfupi ujue 99% kampendea pesa na wakiongozana njiani huwa hawatangulizani pamoja lazima waachane kwa mita kadhaa, nyodo na maringo ndo zao.
Ni wasumbufu kwa mambo mengi sana, kifupi ni bora uoe mwanamke wa saizi ya kati kuliko mrefu, maana ikitokea akawa malaya basi wanajua sana kucheza na wanaume wenye pesa bila kujali afya zao.
Nashangaa sana unapowaponda wanawake warefu kwamba wana tabia za kukera sana, wewe huyo huyo unasema wengi wao wana hekima sana. Sasa upo upande gani? Unawasifia sana au unawaponda?aisee umesema ni
1.wajeuri
2.viburi
3.wanajiamini kupindukia
Ila wengi wao wana hekima sana....hao hao wenye sifa 1,2 ndio wenye hekima?
No research no right to speak,,utafiti uliufanyia wapi,lini na kwa muda gani?Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.