Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Nimeikuta mahali:
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza……. 4. Kamwe haiiti always anaweka vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje….anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba zake haraka sana
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi Lisaa anakudampu huko Tena anaweka status napenda sana Ndugu zangu.
15.
16.
17. ....
endelea!