Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Mambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
Hivi wewe unaakili kweli yaani kila mwaka uwe unaenda alafu uonekane wewe tuu ndio hauna hela ungeweza kuvumilia,ndio maana watu kule huwa wanajiongeza kufanya chochote ilimradi wapate pesa,na ni jeshi lipi la polisi au wapi wametangaza kwamba majambazi ni wachaga,au kuwa namali ndio ujambazi?
 
Naomba kuuliza swali....Kuna nguvu ya uvutano/muungano/chemistry wa/ya aina gani kati ya Wachagga na Wahaya? Business and family wise?



By the way, napenda sana huu utamaduni wa kurudi nyumbani kila Mwaka and if ingetokea makabila ya Tz almost yote yakafanya hivi kila Mwaka even for just a couple of weeks, I think maendeleo yangekua yamesambaa at almost all corners of Tz.

We should all try this as a country!

Wote watanzania but still kila mmoja wetu ako na chimbuko lake, tuyaenzi machimbuko yetu!

It might pay going back to our roots!
Mcheza kwao hutuzwa/hutunzwa!

Kaskazini’s home loving spirit is my inspiration!

Hongera zenu! It takes guts to go back to where you started and face the music!! Ugly or Beautiful, it pays!

Salute!!
Karibu sana KLm Coach Slamah Hamad
 
Asprin

Mentor

Kuna ukweli hapa ..... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwahiyo biringanya za kichaga nyingi zimelepweta sana kwa kuvutwa kama swichi ya jenereta.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mi siamini hadi nihakikishe ...... 😂😂😂🤪🤪🤪

Please excuse my ribs am inhaling weeds 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli sister. ..zimelegea mpaka zinakua Kama maji ya kufunga(Mabusha)
 
Hivi wewe unaakili kweli yaani kila mwaka uwe unaenda alafu uonekane wewe tuu ndio hauna hela ungeweza kuvumilia,ndio maana watu kule huwa wanajiongeza kufanya chochote ilimradi wapate pesa,na ni jeshi lipi la polisi au wapi wametangaza kwamba majambazi ni wachaga,au kuwa namali ndio ujambazi?
watu wenye wivu tu, hata maofisi mengine wananwanyiwa wachggga likizo lakini mchagga kama mu-israeli, hashindwi kitu
 
Natumai wote wazima.

Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.

Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.

Sababu za kwenda makwao December
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbu zi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo, Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba, njia mashamba n.k

Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote

Ukienda tofauti na kipindi hiki huwezi kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.

CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani?

Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini? Bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?

Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe? Utajibu nini hapo?

Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.

Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.

Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
Umemaliza kila kitu mzee, atakaeongeza kitu hpa hyo ni muongo.
 
Mamangi kwa Kujimwambafai ni noma.

Wangekuwa kama wahindi walioshikiria uchumi wa nchi hii sijui ingekuwaje.
 

Attachments

  • EpDBfikXYAEWTea.jpeg
    EpDBfikXYAEWTea.jpeg
    55.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom